Wanawake wanaostahili kuhudumiwa na kupewa pesa

min -me umeamua kunifungulia uzi eti nikuchambee unanini sura kaa taulo la gesti mtu mwembaba unakitambi kama chambuzi ukondeleana kama mbuzi huna lolote sura mbaya na hilo limdogo lako.sasa ka ma la mbuzi kila kitu uko kama mbuzi unakula kama mbuzi unacheka kama mbuzi una moguu kama ya mbuzi sijui shida yako nini??.
Mwanaume unanuka mdomo mwanaume mbeya utasutwa tu na ngoja .

Eti unasura ipi
 
Kumekuchaa😂
 
Uzi huu bila picha haupendezi
 
Umenichekesha na kunikumbusha. Kuna kulumbembe moja, lilikuja linomba nilikopeshe hela,eti tarehe 4 litarudisha.
Badae,nastukia sms inaingia: Unatoa au hutoi? Jamani, hata mavuzi yake siyajui,leo natumiwa sms ya hivi? Nkaona huyu hakopesheki,nikitoa ndo imeenda hiyo. Nkakausha. Leo tarehe 4, ambayo alitakiwa anirudiahie ningemkopesha,nastukia bado anadai mzigo wake nimefikia wapi!!! Mi nshazeheka,nikitaka nanunua tuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…