Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Acha kutukana watu. Kama ulikuwa chuoni qe hukuwaona? Uliwaonaje?

Inawekana walikukataa ndo maana ukaja na haya matusi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha ha ha wanajamvi mna utani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Agness masogange alikuwa anatokea wapi. Achaga madharau yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…