Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unakubali wa kusini ni wabaya? achilia mapungufu uliyoyataja kwa wakaskazin?
So chagga is the best!! u mean that?
Na figure zao vp? au uzuri ni sura, rangi na nywele tu?
Tatizo mnachanganya uzuri na weupe....ubaya na weusi... wengi wa kusini ni weusi wakati mikoa mingine ni weupe... ndio maana siku hizi wanawake wengi wanajichubua wakidhani watakuwa wazuri..
Hakuna kashfa hapa mkuu, mbona ni mjadala wa kawaida? anyway..we mwenyewe unaweza kucompare na ukatofautisha..Refer kwenye taasisi mbali mbali ulizopitia either shule, chuo hata job..utagundua wanawake wanatofautiana sana! kwa sura, maumbile hata kwa uelewa!Hapa naona kashfa ndio zimetawala,ngoja nione mwisho wake.