Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Tatizo mnachanganya uzuri na weupe....ubaya na weusi... wengi wa kusini ni weusi wakati mikoa mingine ni weupe... ndio maana siku hizi wanawake wengi wanajichubua wakidhani watakuwa wazuri..

Umeeleweka dada
 
Kwa maoni yangu Mbulu, singida, Kondoa, Tanga na Mkoa wa kilimanjaro ndio mikoa/wilaya zenye warembo TZ (Sura, nywele, rangi).

Na figure zao vp? au uzuri ni sura, rangi na nywele tu?
 
kaangalie umbo za kichaga balaa hasa kibosho na marangu miguu kama inaelemewa na mili yao!
 
Hapa naona kashfa ndio zimetawala,ngoja nione mwisho wake.
 
Beauty is in the eye of the beholder (or is it "beer holder"?) / s.

Habari nzima ya makabila ni sociological zaidi ya biological, kwa mtu yeyote anayeelewa mizunguko ya Waafrika ilivyokuwa na michanganyiko iliyojitokeza. Hizo nyanda wamepita kuanzia Wangoni, Wanayasa, Wayao, Wanyakyusa, Wasangu etc etc. And that's just in the last 200 years.
 
masai-woman-portrait-close-up-africa-afkj7t0513-out.jpg

3300594155_a518f8ff95.jpg

Maasai_Woman.jpg

Ah! jamani JF kuna mambo, hivi huwa mnafikiria nn?
 
Tatizo mnachanganya uzuri na weupe....ubaya na weusi... wengi wa kusini ni weusi wakati mikoa mingine ni weupe... ndio maana siku hizi wanawake wengi wanajichubua wakidhani watakuwa wazuri..

umenena kaka nafikiri wamekupata
 
Hapa naona kashfa ndio zimetawala,ngoja nione mwisho wake.
Hakuna kashfa hapa mkuu, mbona ni mjadala wa kawaida? anyway..we mwenyewe unaweza kucompare na ukatofautisha..Refer kwenye taasisi mbali mbali ulizopitia either shule, chuo hata job..utagundua wanawake wanatofautiana sana! kwa sura, maumbile hata kwa uelewa!
 
Nyie mwasemea miili! Tabia zao mbovu! Ukoiwaoa hasa mbeya umeumia

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom