Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

Loh mfungo wangu wa kwaresma umeharibiwa kbs...
 
Na tabia zao sasa kwa wapenzi wao kati ya wanawake kumi utakuta wenye utulivu ni wawili tu,na ndo mana kuna misemo huwa wanawake wanaitwa Maharagwe ya mbeya,wakimaanisha ni dk chache tu unampata hupati shida

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Aisee kumbe ndiyo source?
 
Naunga mkono hoja!
 
Wengi wa wanawake wa mbeya wanasifa zifuatazo..,sura hazifutii,mgongo na makalio vina lingana,wengi huwez gundua kiuno kilipoanzia,wambeya kweli,vicheche kupita kiasi,

Pia wanamazuri wanajua sana kuimba kwaya.sauti zao ni nzur kiuimbaji

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
uongo huo inategemea na tabia ya mtu.
 
ha ha ha! mkuu umetisha...
 
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

Yes, 98% na kibaya zaidi wana huruma sana ya ugawaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…