Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Mungu akasema na tumuumbe mtu kwa sura na mfano wetu. unakosoaje alichokiumba Mungu kwa sura na mfano wake? hujafa hujaumbika! acha hizooooo!
 
Hata wewe ni mfano wa Mungu? avatar yako lol!


Mungu akasema na tumuumbe mtu kwa sura na mfano wetu. unakosoaje alichokiumba Mungu kwa sura na mfano wake? hujafa hujaumbika! acha hizooooo!
 
Hata mimi ni wa huko huko, wish ungebahatika kuniona, sijisifii ila sisi si wabaya kama udhaniavyo, coppy snowhite, Asprin, Jiwe Linaloishi, snowhite, mwaJ, Fixed Point. Looooool, mutuwacheeeeee wa hiyo mikoa!

akikuona atataka uhamie kwake mke mweee!
hawatujui vizuri hawa!
mi nafkir ifike wakati kila member awe verified user na picha zetu!
hii habari hii ZEREU zinazidi humu!
 
Tunzie hapo uzuri wa nn? Mfano mi kila mwanamke mwenye kalio kubwa binafsi namwona mzuri kuliko yule asiye na kalio.

Yaaa ni kweli ,inategemea mwanamke wa aina gan unamuona mzur ,wengine wanaangalia sura ,wengine shep so mtoa mada jarib kucategorise
 
Unakosoa u-umbaji wa Mungu ndugu, kilicho kibaya kwako kwa mwenzio kizuri. Ni mgawanyo tu kutegemea na shughuli za eneo husika basi Mungu akaona iwe hivyo.
 

Akili za fb zikitua jf ndio tunapata kusoma thread kama hizi Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Sura haziwagi nzuri sanaa....ila mi napenda rangi yao na figure zao.....hawanaga nyama zilizolegea.....ni wazuri na watamu kwa kweli.

Eti watamu!
Utamu unautengeneza wewe mwenyewe bwana!
 

Hivi we kabila gani? Au ndio mnaongoza kuzalisha mabaamedi Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…