Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Kuna ukweli flani,lazima tukubali wengi wao sio wazuri kivile kulinganisha na wale wa mikoa ya Kaskazini,hapa tunazangumzia majority.
Miguu ya wachaga unaijua ww?!
 
Ni kweli kabisa kwanza wamejazia mwili mzima weusi kama west african wana miguvu kuliko wanaume ukileta zako za kuleta unachezea kichapo. Ila wanajua kutafuta hela sana

almost doesn't count......
 
Hawa wafuatao ni kabila jingine...sitalitaja jina ila ni hapahapa Tanzania...nia na madhumuni ni wewe mleta uzi uelimike kuwa sio kila unachoambiwa unameza kama kilivyo, vingine ni vya moto

DSCN2808.jpg

DSC_9691.jpg

women_on_the_road.jpg

Kabila Gani Mkuu,Umenikosha Kweli!!
 
Unakuta demu sura kama anazima mshumaa wa besidei ila yanakuaga na akili kinoma!!

Mh!Ila Watu Mnajua Kutusi,Navuta Picha Sura Ya Mzima Mshumaa Wa Bethidei..Umenifanya Nicheke Sana!!
 
Sidhani kama kuna wanawake wabaya kwa dunia hii,kwani wewe unaweza mpenda mkeo/demu wako lakini mie nikamuona ni kipoligoni so thus why nasema hakuna mwanamke mbaya awe anatokea nyanda za juu/kusini/magharibi nk.Mie naweza kupoteza muda wangu mwingi tu wa kumpata demu flani kwa kuwa ananipagawisha kufa mtu lakini kuna watu wengine wataniona mie kama mwendawazimu na watasema cheki huyu jamaa ati kile kimwanamke kinamlaza macho na ubaya ule hapo tayari mie nimefika hakuna mwanamke mwingine kama yeye.
So huu ndio ukweli hakuna mwanamke mbaya
 
wewe mleta mada akili zako nyeusi kama wewe mwenyewe. Zisafishe hizo akili zako zitakate kwanza. Maana akili zako ni mbaya kuliko uliosikia hapo chuoni.
 
wewe mleta mada akili zako nyeusi kama wewe mwenyewe. Zisafishe hizo akili zako zitakate kwanza. Maana akili zako ni mbaya kuliko uliosikia hapo chuoni.

wanasema wao bado wapo kwny zile hatua za mabadiliko ya binadamu
 
Out of curiosity...Hivi Mama 'Thenk Yu Vere Machi' ni wa mkoa gani vile?
 
Si kweli!!!!!!! KUNAGENES ZA KYELA MBEYA ZINA VIJUNGU BALAAAAAAA! MIGUUU KAMA MATENDE!!! Sema wanawake wa kyela bana washazoea pesa ya MCHELE, tabu yao moja tuuuuuu! Waulize waume zao.

Uko sahihi kabisa cz ni watafutaji sanaa hawatishiki na kitu chochote, halafu ukijumlisha na dharau walizonazo basi mwanaume lazima ashike adabu yake
 
Ni kweli, kanda ya kusini ina tatizo, kwani kule kwetu Nyasa, songea, malawi, zambia na zimbabwe wanawake wazuri sana si wengi nafikiri ni mazingira, lakini wanajua kutafuta money hata mchaga kasingiziwa. On top of that what I like from them wengi wao wa kweli si waongo waongo kama wa hapo bongo na kule kaskazini.
 
Kuna ukweli flani,lazima tukubali wengi wao sio wazuri kivile kulinganisha na wale wa mikoa ya Kaskazini,hapa tunazangumzia majority.

Hata hao nao ni wachache wengi wao ninaowajua mimi maumbo ni ya kuyatafuta sura kawaida tu, labda rangi, nyuma ndio mbaaaaaaaaaaa, kama wamepigwa pasi.
 
niko tofauti mi niko mbeya ila c mzaliwa wa uku kiukweli wanawake wa mbeya wamejaliwa shepu hips na nyuma usiseme na asilimia kubwa wako ivo ila kwa sura kawaida sana
 
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

Hiyo si kweli hebu rudi kitabuni. Labda nawe ungejaribu kutaja mkoa unakotoka ili tukueleze sifa zao kwani wenzio tumebahatika kutembelea karibia mikoa yote ya nchi hii.
 
Mi sina uhakika, ni maneno niliyoyasikia kwa watu nilivyokuwa chuoni! eti wanawake(mademu) wengi waliopo vyuoni wanaotoka mikoa niliyotaja hapo juu ndiyo wabaya kwa sura na figure(Body structure)mbaya kuliko wa mikoa mingine! je, hili lina ukweli?

Naona umeamua kuwatania!
Mimi kuhusu sura naweza kusema labda (sijui) huenda zikawa mbaya ila kwa maumbo nawakubali ile mbaya !!
 
Back
Top Bottom