Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

Wanaimba hv.
Wewee kabila gani ni Mpare au Mchaga nataka tufunge ndoa.
Sasa cjui kwa nn ni kaskazini tu
 
aah acheni hizo mie mtu wa kusin ni mrembo navutia.mchanganyiko wa makabila ya kusin sura ninayo,figure ninayo na kichwan machine kama dume.chezea kizazi cha sasa kusini sijisifii ndio ukweli ulivyo
 
kuna mambo hapo mnaniacha
1. kuna uzuri kuwa SEX
2. kuna UREMBO Kujipamba wawe wazuri
3. Kuwa wazuri wa maumbo fulani fulani

ninavyowajua wanawake wa kule ni wazuri sana, ila hawana muda na uzuri wao, wapo kikazi zaidi.
kama huamini hebu anagalia.. wafanyakazi weengi wa ndani (House Girls) hutoka huko, huja wakiwa mmhh baada ya muda wanaanza ku concentrate na uzuri wao.. hapo huwafunika mama wenye nyumba wengi tu. na huo ndio huwa mwanzo wa matatizo ya nyumba nyingi.. ni uzuri wa watoto wa nyanda za juu
 
Mkuu kichwa cha habari na maelezo ya thread mbona yanajitosheleza? ni kwa wale waliovyuoni..si ma housegirl or otherwise..
 
vp wachagga na shepu la simba!

9ijgzPdAAAAAElFTkSuQmCC

Wewe unatokea nyanda za wapi vile?
 
Hapo mnaongelea kusini sasa hiyo kaskazin imetoka wap?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
https://www.jamiiforums.com/image/png;base64,iVBORw0KGgoAAAANSUhEUgAAAGQAAABkCAIAAAD/gAIDAAAgAElEQVR4nJTbR4wj+50neL5yWZWVVZW2qrKy0hsmk957m/TeBhl0EWTQkxH03qf3Wd69Ms/p6Umtbj1J3WpJre6emcXMNrDAYIG5zp53D3vbywAL7OyBr1PVkp6kBr4HMiJOH3x/v/gDBHHFjr/UhTJVUG3lTi/duTlx5e706L374xuEVQ6dLOOwVDyGUcxxq4SgSgRIuQG1DNKrolZD0mPLBt2FaKCWRhq5eK+C7jTyR83SYaN4UM7uFdHDPHpcSD+ppHeTvn7ce1CIHDczu/XkditzsFuqVeKBoNnh0vgClgBkDyFAKgVjKSgT9pRivkYm1C8mjurZ807prJM/bmInDeyslXvcLjzpFJ+2C09a+aftwpNO8axVOKxhO8V0B43WoqGs3xNzWGCTLmTWu5USn1qedJlTgCnu0Dbj/rf7ldO8rxvSlVyy55XIl7uNk2y8Hw2XAwHivenxy9eu465cv3bj0tVh3LUbuOvDuGtDn4yMXwRXaPvqO5HGbjwQNxNZixPTNyfu3pqYvL2OX2ZRiVIO/QLLr5X6VeKgRh7Wq2M2Y9pjzwbdxch3WFtldKea3a/lD6q5vSK6l88c5DJH+dQhGj4rxI6K0e1ceL+aOOrkWuVoNOxw2jc3lRy1VgD6zE
[/QUOTE]

Mkuu naona giza tu hapo
 
Huu ni ujinga mkubwa sana nina mashaka makubwa sana kama aliyeleta uzi huu akili yake inafanya kazi sawasawa kwa leo.
 
Kwa maoni yangu Mbulu, singida, Kondoa, Tanga na Mkoa wa kilimanjaro ndio mikoa/wilaya zenye warembo TZ (Sura, nywele, rangi).

Miss Tanzania alowahi toka nyanda za juu Kusini ni nani? Toka imeanza 1994,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom