Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Habari zenu my virtual family(JF)
Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini...
Nikienda duka lingine labda nkamkuta jamaa utakuta anataja bei tofauti na ile (price difference inakuwa kubwa sana) Unabaki unawaza kwanini mwanamke yule kaamua kuzidisha sana ile bei,
Majibu niliopata ni kwamba:
•wanawake wanataja bei ambayo imejumlisha na pesa yao ya make up na kucha... (wanamuharibia boss au yeye mwenyewe)
•Wanajua wanaume tuna udhaifu kwao kwahiyo wanageuza kitega uchumi...
Fikiria utakuta umekutana na hii changamoto sehemu moja au nyingine...ila labda haukuwa curious kufuatilia... kumbuka last purchase yako ilikuwaje🤔?... Then tuelezee kama ulikutana na hii tatizo
”Nimewaza kwa sauti tu”