Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
- Thread starter
- #21
Kwahiyo undugu kwenye biashara unatudhuruUkikuta duka ''kali'' na lina wanawake, basi uwe makini sana. Wana huduma mbovu kweli kweli na wamejaa viburi. Hii ni tofauti kabisa na nchi nyingine nilizowahi kutembelea ambako wanawake ndio wenye huduma nzuri. Halafu wengine baadhi ya sehemu huwa ni wake, mahawara na dada wa wenye maduka.