Sitarudia tena kwenda kwenye yale maduka makubwa yenye wahudumu wengi hasa wakike,niliwah kwenda kununua vifaa vya umeme,anaeandika orodha ya vitu mwingine anaenikusanyia mwingine.
Nilijikuta nanunua vitu kwa bei ya gharama,kwasasa nataka duka linalouzwa na mtu mmoja tujadiliane vizur,maana pale niliuziwa main switch ya 70,000 wakati hata main switch ya 45 000 ilikuwa inafaa kwenye matumizi yangu