Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Wewe ndo hujanielewa!! Nimemaanisha kamba mguuni ni mshamba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mimi kikuku mpk kibata vyote namvalia Kantri [emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Mpka kinyau yan vyote vyote [emoji81][emoji81][emoji81]
 
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu.

Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye.

Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na zaidi ni wale wa uswahilini ingawa wako wengine wanaishi uzunguni na maushangaa ya viuononi.

Ujinga kabisa huu.

Chombezo la weekend: Matumizi ya shanga kwenye mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi watu wa pwani huo ndio utamaduni wetu nakumbuka nilipokuja dar nikapata binti mmoja wa kimeru alikuwa na shanga nne kiunoni hakika nilienjoy mno full kuunganisha juu kwa juu
 
Zamani zilikuwa urembo mzuri tuu siku hizi wanawake wanaziusisha Sana na ushirikina kuwapata wanaume binasfi na rafiki yangu zake alitengeneza halafu mganga akamuwekea vidawa basi anawapata mabwana wenye pesa tuu.



[emoji2297][emoji2297]

Mwanaume asomaye hapa na apate kuwa aware.

Unashangaa mwanamke hata hamuendani chemistry zero lakini uwezo wa kumuacha huna [emoji108][emoji108]
 
Back
Top Bottom