Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Salary Slip sema ulikutana na demu analala ka gogo. Muulize Depal akwambie raha yake ukikutana na anayejua kukizungusha halafu ziwe 6 mpaka 12 hivi utasikia sauti kama KAYAMBA ya kwaya za kikatoliki wallah

Au nasema uwongo ndugu yangu Cute Wife Evelyn Salt .

Achana na washamba kama Mr the dragon aliyedinya fisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza msukuma na shanga wapi na wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kamba mguuni huyo achana naye bro 😂😂😂😂
 
Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu.

Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye.

Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na zaidi ni wale wa uswahilini ingawa wako wengine wanaishi uzunguni na maushangaa ya viuononi.

Ujinga kabisa huu.
Vipi na wanawake wanaovaa cheni kiunoni unawaonaje?

Au hauna shida na hilo Kwa sababu cheni ametengeneza mdhungu?
 
Back
Top Bottom