Wanawake wanapenda kuabudiwa

Umetisha classmate
 
Hata uwafanyie nini hawaridhiki, ishi nao kwa kuangalia unafaidika nini kwake si kwa lingine.

na chochote unachomfanyia mfanyie sababu umetaka sio yeye kataka "ili umridhishe" maana hata ukimpa bado hatoridhika

Hivyo hakikisha unamtimizia anayotaka kama utajiskia kumfanyia hivyo tu, si vinginevyo.

Usihesabu uwepo wake kama una mtu maishani mwako, wakati wote simama kama upo peke ako,usithubutu kumuonyesha yeye ndie nguzo/kimbilio lako nyakat za matatzo/mapito/furaha.

Muweke katika nafasi asiyoijua Ndani ya maisha yako , umuhimu wake,msaada wake,faida yake maishan mwako hakikisha ni "SIRI YAKO" usije mwambia hata siku 1.

Yawezekana una mwanamke hana sifa mbaya,ana kuheshimu,anakupenda,nk sifa zote nzuri ni zake (usije thubutu mwambia akajua unamchukuliaje) wakati wote mwache aone kama unamsoma na uko nae mguu nnje mguu ndani ila wewe ndie unaejua thamani yake kwako.

Mwanamke ni Mwanamke ishi nae kwa akili nyingi si Mtu hakikisha unatengeneza watu sahihi wakuambatana nao maishani mwako MKE/MWANAMKE wako awe no. 2 or else "usiseme hukuambiwa"
 
Bandiko zuri sana na ni eye opening kwa wanaume wenye akili timamu na kujua vyema aina ya jamii tuliyonayo Sasa.

Nasikitika tu ni kwamba wataoongoza kukupinga hii mada yako humu ni wanaume kumbuka hii forum Ina maSimps and whitekinghts Kibao na huwa wanachukizwa sana na mada kama hizi kuliko hata wanawake yaani utafikiri na wenyewe huwa wanaingia period.

Umeongea jambo la kweli kabisa, jamii yetu hii ya kiafrika tayari imeshamezwa na gynocentric culture ambayo Inampa mwanamke thamani kubwa kuliko uhalisia, na kumtaka mwanaume aishi kwa kumfurahisha mwanamke huyo.... Sasa matokeo yake imewafanya wanawake hasa wa kisasa kuona ni haki yao ya msingi kuabudiwa na wanaume licha ya kwamba hawana chochote Cha maana Cha ku offer zaidi ya huo uzuri wao.
 
Hivi kwanza kati ya mwanamke na mwanaume ni nani ambaye anateseka na anaumia kumuabudu na kumfurahisha mwenzie, ni nani ambaye toka enzi na enzi jamii imemlazimisha kukubali kutawaliwa na kuwa chini ya mwenzake kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu, yani ninyi mambo yote mnayotaka mfanyiwe na wanawake hamuoni kama ni mateso na maumivu kwao ila mambo wanayoyataka wanawake ndio mnaona kama wanataka mwaabudu
 
Hii ni kwa wanaume ambao hawapendwi lakini tukipenda sisi tunanyenyekea na kuvumilia Mengi.
 
Kwa nini uwe na mahusiano na mwanaume ambae haumpendi kama sio utapeli?🀣🀣
Kuna wanaume hawasikiagi, unakuta hapendwi na anajua hilo lakini bado yumo tu sasa kwa nini asiwe mtumwa.

Mwingine yuko radhi awe mtumwa ila tu watu wamsifie yuko na demu mkali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna wanaume hawasikiagi, unakuta hapendwi na anajua hilo lakini bado yumo tu sasa kwa nini asiwe mtumwa.

Mwingine yuko radhi awe mtumwa ila tu watu wamsifie yuko na demu mkali πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Swali kwa nini wewe ukubali kuolewa na mwanaume usiye mpenda ? Kwani anapokua king'ang'anizi anakuteka bila wewe kujijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…