Kwamba
Kumwambia mtu usiyemjua anabwabwaja kisa mmebishana kwa hoja tayari ni sign of disrespect kama sio Baba ako au mama ako huwezi kumwambia kauli kama hiyo kwasababu unajua fika ni kumkosea heshima kumwambia mtu amechanganyikiwa hiyo ni disrespect ya pili sina haja ya kutoa evidence za mbali ni kawaida yako, wanaume wengi wanaotoa hoja zao humu unawadisrespect kwa Kuwaita wavulana since ushajua kua ukimvunjia heshima hatataka tena kujibizana na wewe, then humu hakuna Mvulana sema ni wewe ndo ushakuwa MBIBI so lazima uone kila mwanaume hajakukidhi coz umezeeka (30+ above) si mara ya kwanza watu kukuterm kuwa unapenda mabishano na kauli zako huwa unakimbilia kumshushia mtu heshima, Unaweza kumjibu mtu bila kumwambia kua amechanganyikiwa or anabwabwaja na kauli zako zingine nyingi tu since sio lazima kila mtu awe na mawazo kama yako na challenges zinaruhusiwa📌 Speaking of your points comment zako nyingi zinaonesha kuwa ni mtu mwenye Bipolar, hasira, trauma na mihemko Kwakifupi ni UNA TATIZO LA AKILI📌
Kwakuhitimisha Mwanaume yeyote anahudumia pale anapoheshimiwa na kusikilizwa, Case nyingi za wanawake wanaolalamika hawahudumiwi ukiuliza upande wa mwanaume atakuambia vitu vingi worst things ambavyo mwanamke alikuficha kwa kujilinda, sehemu nilipo na kazi ninayoifanya nimeshuhudia cases nyingi za wanaume kubambikiwa watoto, kulea watoto wasio wao wanawake kuhitaji matumizi makubwa 1M+ za matunzo ya mtoto, nimeona case nyingi za Wana ambao wanahudumia wanawake zao and still wanawake haohao wanasema hawahudumiwi, nimeona case nyingi za wanawake kucheat eventhough wanapewa kila kitu na waume zao UNAJUA NI KWANINI ni kwa sababu upande wa wanaume hausikilizwi The world is selfish for the Men ikiwa mnalalamika kwamba hamudumiwi pia semeni kua ni kwanini Wanaume sikuhizi wanalalamika kuhudumia, semeni pia madhaifu yenu, Semeni pia mnavyosingizia mimba mnavyowambakia wanaume watoto, semeni pia kwamba kuna wengi wenu mnapewa kila kitu and still hamridhiki,
Hakuna mtu anaetaka atoe hela yake then asisikilizwe
Kingine mmetaka 50/ 50, mmepewa fursa sawa na wanaume Elimu, kazi ajira uongozi na kila kitu so msilalamike kwamba hamuhudumiwi, Toa hela yako kwanza then ndo ulalamike kwamba mwanaume wako anatoa nini, The world has changed📌