Wanawake wanapenda ma handsome

Uhandsome ni moja ya sifa kati ya sifa chunguzima, kwahiyo km ww ni handsome jitahitahidi kuongeza sifa zingine km vile utafutaji pesa,mazoezi[kuwa na mwili wa kiume], mipango ya mda mfupi na ya mda mrefu mpenda maendeleo pamoja na kujua kutulia kwa yule umpendae[ubavu wako] kiujumla sifa ni nyingi mnoo.. uhandsome tu hautoshi.
 
Naamini katika neno LA KITANDANI.. uwe hb uwe sura mbuzi kama ndan ya 6x6 haupo vzr baas usilaumu watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja VIPANDE aka HANDSOME waje Sie Wenye Sura NZITO NGOZI ya GOTI TUnasOma COMENTI ZA MAENDISAMU.
 
Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Ledada, kwa hiyo hela kwanza mambo ya sura hayana msingi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…