Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nakutaka wewe apo hendisamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakutaka wewe apo hendisamu
Mm napenda sura ngumu bwana
Naamini katika neno LA KITANDANI.. uwe hb uwe sura mbuzi kama ndan ya 6x6 haupo vzr baas usilaumu watuHakuna mwanamke anapenda mwanaume ambaye sio handsome.Kama mnakumbuka mke wa Farao aliambiwa na wanawake wengine anawezaje kumwacha Yusufu hivi hivi bila kumlazimisha wafanye mapenzi.
Just imagine mdada anajikata mpaka na kisu akiwa anamwangalia yusufu kwa uzuri aaliokuwa nao yusufu. Akamlazimisha yusufu kamkimbia dakika ya mwisho kabisa akaamua kumgeuzia kibao kwamba yusufu alitaka kumbaka.
Kinachoshangaza mwanamke na yeye hachelewi kukupoteza hata Kama akikupenda sana hilo sote tulijue na ndo maana tumeagizwa tukae nao kwa akili.lakini pia mkae mkijua hawezi kukupenda Kama wewe sio handsome labda uwe na pesa.
Huu ndo ukweli mchungu wanaume wenye sura ngumu sana mnisamehe baba zangu. Nasikia wengine mnasema kuwa wadada wanavutiwa na wanaume wenye sura mbaya za kikauzu.
Huku Ni kujitia tu moyo, tumeona mfano wa mke wa Farao alikuwa hampendi mumewe anamuona kama mzee mzee.
Hizi simulizi za kwenye vitabu vya dini Ni za kweli kabisa zimetokea karne nyingi zamani lakini hata Sasa mambo Ni Yale Yale huwa yanajirudia tu.
Acha woga ww hizo sura ndio ninazipenda mm
HUYO kwenye avatar ndo we mzee babaNgoja VIPANDE aka HANDSOME waje Sie Wenye Sura NZITO NGOZI ya GOTI TUnasOma COMENTI ZA MAENDISAMU.
Yap Mkuu Mimi NDIYE.HUYO kwenye avatar ndo we mzee baba
Nakutaka wewe apo hendisamu
Hahaha kwa hyo mimi mjukuu wa wasira nikitangaza nia naweza kufikiriwaMm napenda sura ngumu bwana
Halafu wengi wao machokooVipaumbele vimetofautiana,mie napenda wanaume wagumu, sipendi handsome boy wana mambo ya kike kike hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee mi nitaogopa vyote lakini sio papuchiAcha woga ww hizo sura ndio ninazipenda mm
Kwahiyo hata nikiwa na sura kama malimau kwako haijalishi kikubwa mshiko / hatari mno hii hahahahaUhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.
Kabla ya kuandika uzi huu umepata kuongea lolote na Juma Kapuya?
Nakusubiria hapa marangu mtoni
Ledada, kwa hiyo hela kwanza mambo ya sura hayana msingi ?Uhendsamu bila hela ni bure, ndo maana wadada wanawaacha mahendisamu wanaenda kuolewa na wazee au wenye sura ngumu kwasababu wana mihelaaaa.