Wanawake wanapenda ma handsome

ahahahahhahahahahahahahaha, tafiti rahisi tu, wewe si wajihisi ni handsome bhasi jipime kama una vision, mission unayoifanya na piah jitathmini kama upstairs zinawaka vema, emotionally well, physically strong and romantically good, ukiona uko better on those part basi utafurahia ur relation na mwenzi wako lkn ukiiona uko 60% OFF kwenye kila sekta tajwa hapo juu, Bi. dada watakula tu sura yako alafu utakuja kutupa mrejesho unajiskiaje ktk mahusiano.
 
aarg huo nao uzi,hivi huo u handsome wako utamlisha nini mwanamke,hela ndio mpango mzima
 
Kila mwanamke au mwanamke ana kitu chake anachopenda kwa mwanaume au mwanamke.
Wengine upenda.
Sauti
Kicheko.
Body Yake..
Pesa
Kwa hyo uhand some sio kigezo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaaarrrgh!! Labda Uhandsome wa mfukoni (pochi nene)...tafuta pesa mkuu acha kujifariji

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijifariji mwanaume ukiwa na pesa lakin sura ngumu mwanamke atakuwa na wewe lakin hakupendi kabisa, na labda na yeye awe na sura ngumu hapo hamna noma ngoma draw

Lakini mwanamke akiwa mrembo halafu wewe ugly kaa ukijua anao wanaume huko nje anaoridhika kua nao na yupo na wewe sababu ya pesa tu.
 
Unatakiwa uwe na vyote Uwe Na Hela, Uwe handsome bila kusahau uwe na six packs na upige show ya maana! Ila kwa wanawake wasivyoeleweka hata kama ukiwa na vyote anaweza akakusaliti utasikia eti anasagana yani hawaeleweki MamaΒ£


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…