Wanawake wanapenda ma handsome

Wanawake wanapenda ma handsome

Embu tuacheni unafki, tu-assume mwanamke ana hela zake, anaweza kufanya independent choice alafu kuna wavulana wawili wa mkoani mwenye sura ngumu na wa Dar ambao ni mahandsome siku zote, nafikiri unajua wa Dar sikuzote anatoka kidedea. Ukiwa na sura ngumu ata kama una hela ndani ya moyo wa huyo mwanamke wako anampenda mwanaume handsome somewhere
Amekuchagua wew handsome unaingia nae ndani show yako mbovu lazima akate rufaa kwa mwenye sura ngumu...mwanamke ni kiumbe kingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wote mnaompinga ndege mpo kwenye mahusiano kwa bahati mbaya nawaona wewe sura mbaya alafu unataka umpate dem sura nzuli akati Mungu kasema utampata wa kufanana nae vumilieni kisa mnapesa mnaoa vyombo mnajikuta kapuya hao wake mtaishia kuwafikisha uvinza sisi wazee wa kukomesha tunawapitisha mwanza nyegezi terminal mtibwa sukari! allaaaaaaaaaaaaaaaaaah pesa inalkupa peace of mind tu .
 
Mi nahisi kila mtu huwa anajiona mzuri...hata yule mweny sura mbaya ujiona mzuri,,,sasa wabaya watajijua vp
hakuna mbaya duniani kila mtu ana upeo wa macho tofauti we unaweza ona mbaya jirani yako akamuona mzur kama malaika
 
Back
Top Bottom