Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Wanawake wanapenda sana kusifiwa

Mtu inabidi afind out kitu gani akimfanyia mwanamke wake anafeel the whole world on him,.
Lakini nikikwambia inakua haileti maana means nitakua naona umefanya kwasababu mimi nimesema na haukua willing
Upo sahih bt ubisy wa majukum hutulimit, ujue sie wanaume tupo open sana kwenu, kitu ambacho huwapa wepesi wa kudeal nasi.
 
Upo sahih bt ubisy wa majukum hutulimit, ujue sie wanaume tupo open sana kwenu, kitu ambacho huwapa wepesi wa kudeal nasi.
Ukishaweka suala la ubusy means hauna mda na Mpenzi wako na hapo ndipo wengi mnakosea na mkishaprovide kila kitu mnaanza kujiona mko sahihi while not,.
Hakuna ubusy kwa mtu unayempenda

Halafu mbona wanawake hatuko complicated hivyo kama mnavyohisi😃😃
 
Kwa mantiki hiyo mtoa mada umeshawaelewa wanawake au?
Kiasi chake, ujue mambo mengi yanayowapa furaha wanawake sie wanaume tunayaona ya kitoto

Mfano kudeka, kumbembelezwa, kusifiwa na nk... ni big deal kwa ke bt kwa me ni utoto bt tunapaswa kuufanya kwa ajili yao kama sehem ya kushow love.
 
Ukishaweka suala la ubusy means hauna mda na Mpenzi wako na hapo ndipo wengi mnakosea na mkishaprovide kila kitu mnaanza kujiona mko sahihi while not,.
Hakuna ubusy kwa mtu unayempenda

Halafu mbona wanawake hatuko complicated hivyo kama mnavyohisi
Hata ubisy wa majukum yetu kwa sehem kubwa ni kwa ajili yenu ujue.

Tunawaona complicated coz hampo open sana kwetu, jambo ambalo hutupa ugum zaidi wa kudeal nanyi.
 
Hata ubisy wa majukum yetu kwa sehem kubwa ni kwa ajili yenu ujue.

Tunawaona complicated coz hampo open sana kwetu, jambo ambalo hutupa ugum zaidi wa kudeal nanyi.
Basi tutaanza kuwa open na sisi ili tusiwachoshe
 
Back
Top Bottom