Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
wewe mama ako unamuelewa?Wewe ni Sigmund Freud ? Tuanzie hapo kwanza !!
Kumbuka pia umezaliwa na mwanamke ambaye Ni mama yako mzazi, kwa hiyo unapoleta hii mada hapa , hata mzazi wako humuelewi si ndio ?
Sauti iko sawa ama niongeze ?
wewe mama ako unamuelewa?
ππππ Akirudi anaujasiri kama 'jiwe'wewe mama ako unamuelewa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ha ha ha aje akujibu.. ukweli mimi mama yangu simuelewi .. mke wangu nae simuelewi.. dada zangu ndio usiseme siwaelewi hata kidogo jinsi wanavyovuruga mambo
Mi kabla sijaanza kuwachukia wanawake wengine, nilianza kumchukia mama yangu mzaziHa ha ha aje akujibu.. ukweli mimi mama yangu simuelewi .. mke wangu nae simuelewi.. dada zangu ndio usiseme siwaelewi hata kidogo jinsi wanavyovuruga mambo
duu!!! ilikuaje?Mi kabla sijaanza kuwachukia wanawake wengine, nilianza kumchukia mama yangu mzazi
hiyo ya mwisho uongo.mizinga kibaoKama Hivi ndivyo mwanamke anavyotakiwa kuwa kwa nyakati hizi..basi katika hali ya kawaida hatoweza kueleweka[emoji1635]
View attachment 1624437
relax visa vingi sanaduu!!! ilikuaje?
so till today humpendi?relax visa vingi sana
Mimi nikifikiria mchumba wangu juzi aliniblock leo ananiambia anaenda kufungua biashara na anasaijili kwa jina langu nguvu zinaniishia kabisa[emoji849]Ha ha ha aje akujibu.. ukweli mimi mama yangu simuelewi .. mke wangu nae simuelewi.. dada zangu ndio usiseme siwaelewi hata kidogo jinsi wanavyovuruga mambo
sio simpendi simwelewiso till today humpendi?
Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...hiyo ya mwisho uongo.mizinga kibao
wewe jitambe tu lakini mwisho wa siku unapiga mzinga kama kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...
Wewe unaweza kumwelewa kiumbe anaeweza kufanya vitu zaidi ya vitatu kwa wakati mmoja,,eehee si nakuuliza!!unaweza??au ulisikia wapi?
kiumbe anaeweza kupika,kuonsha vyombo wakati anapika,kumlisha mtoto wakati anapika,kumwogesha mtoto wakati mtoto mwingine kumbeba mgongoni huku anapika,na bado akamchanganya kiumbe anaeitwa mwanaume ambae mda huo pengine yuko buzy na mechi ya Tottenham vs Man city....hebu tuacheni kama tulivyo[emoji30][emoji30]
Ukijiona unalalamika sana kuhusu kupigwa mizingwa na mwanamke jua unapesa za mawazo kuliko mawazo yenyewe.hallelujah!wewe jitambe tu lakini mwisho wa siku unapiga mzinga kama kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
π π π π π π π umeua aiseh...Sisi wenyewe hatujui tunataka Nini..kwahiyo mambo yetu mtuachie wenyewe..π