Wanawake Wanataka Nini?

Wanawake Wanataka Nini?

Duke Tachez

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2018
Posts
5,461
Reaction score
4,138
Wajuzi wapenzi tupeni uzoefu wenu.Je Wanawake wanataka nini?? Uzi tayari

tapatalk_1605097316909.jpeg
 
Wewe ni Sigmund Freud ? Tuanzie hapo kwanza !!

Kumbuka pia umezaliwa na mwanamke ambaye Ni mama yako mzazi, kwa hiyo unapoleta hii mada hapa , hata mzazi wako humuelewi si ndio ?

Sauti iko sawa ama niongeze ?
 
wewe mama ako unamuelewa?
 
Ha ha ha aje akujibu.. ukweli mimi mama yangu simuelewi .. mke wangu nae simuelewi.. dada zangu ndio usiseme siwaelewi hata kidogo jinsi wanavyovuruga mambo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ha ha ha aje akujibu.. ukweli mimi mama yangu simuelewi .. mke wangu nae simuelewi.. dada zangu ndio usiseme siwaelewi hata kidogo jinsi wanavyovuruga mambo
Mi kabla sijaanza kuwachukia wanawake wengine, nilianza kumchukia mama yangu mzazi
 
hiyo ya mwisho uongo.mizinga kibao
Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...

Wewe unaweza kumwelewa kiumbe anaeweza kufanya vitu zaidi ya vitatu kwa wakati mmoja,,eehee si nakuuliza!!unaweza??au ulisikia wapi?

kiumbe anaeweza kupika,kuonsha vyombo wakati anapika,kumlisha mtoto wakati anapika,kumwogesha mtoto wakati mtoto mwingine kumbeba mgongoni huku anapika,na bado akamchanganya kiumbe anaeitwa mwanaume ambae mda huo pengine yuko buzy na mechi ya Tottenham vs Man city....hebu tuacheni kama tulivyo😩😩
 
Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...

Wewe unaweza kumwelewa kiumbe anaeweza kufanya vitu zaidi ya vitatu kwa wakati mmoja,,eehee si nakuuliza!!unaweza??au ulisikia wapi?

kiumbe anaeweza kupika,kuonsha vyombo wakati anapika,kumlisha mtoto wakati anapika,kumwogesha mtoto wakati mtoto mwingine kumbeba mgongoni huku anapika,na bado akamchanganya kiumbe anaeitwa mwanaume ambae mda huo pengine yuko buzy na mechi ya Tottenham vs Man city....hebu tuacheni kama tulivyo[emoji30][emoji30]
wewe jitambe tu lakini mwisho wa siku unapiga mzinga kama kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
wewe jitambe tu lakini mwisho wa siku unapiga mzinga kama kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukijiona unalalamika sana kuhusu kupigwa mizingwa na mwanamke jua unapesa za mawazo kuliko mawazo yenyewe.hallelujah!

Mwanaume kamili mwenye kujua mwanamke anatakiwa atreatiwe vipi hawezi kuja na nyuzi za namna hii hapa 😁😁kwa huo muda hana.

Mkuu ukiendelea kutulalamikia utapoteza kujiamini kama mwanaume..halafu nashangaa sana unatolea wapi huo ujasiri wa kukilalamikia kiumbe kilichotokea ubavuni mwako?shame!
Ndo ujue mwanamke anaakili,ushawishi na ulaghai wa hali ya juu na ndo mana mkaambiwa muishi nasi kwa akili au unafikiri vitabu vitakatifu havikuyajua haya!

Jombaa kama unamwona mwanamke anakuomba sana pesa si unapiga chini amaaa...ya nini ujivalishe roho ya kidhaifu ya ulalamishi?

Au ukiona vipi tafuta mwanamke ambae yuko chini ya kiwango kakuomba sana 6500 ya kijora na 1500 ya kusuka twende kilioni mbona wapo wengi sana..

Hawa wenye kunukia perfume za gharama na kuvaa vizuri waache waendelee na safari watakufilisi.

Tafuta pesa mkuu hakuna namna.hayo malalamishi ya wanawake kupenda pesa waachie watoto waliozaliwa chini ya miezi tisa.hellooooo🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂🥂
 
Back
Top Bottom