James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Wakati huo huo anapost status wasap, anapost JF analike FB halafu anaweka simu sikioni anaibana na bega anamuuliza yule alieyeenda kuangalia mechi anarudi saa ngapi?Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...
Wewe unaweza kumwelewa kiumbe anaeweza kufanya vitu zaidi ya vitatu kwa wakati mmoja,,eehee si nakuuliza!!unaweza??au ulisikia wapi?
kiumbe anaeweza kupika,kuonsha vyombo wakati anapika,kumlisha mtoto wakati anapika,kumwogesha mtoto wakati mtoto mwingine kumbeba mgongoni huku anapika,na bado akamchanganya kiumbe anaeitwa mwanaume ambae mda huo pengine yuko buzy na mechi ya Tottenham vs Man city....hebu tuacheni kama tulivyo[emoji30][emoji30]
Hahaaa