Wanawake Wanataka Nini?

Wanawake Wanataka Nini?

Mimi nafikiri mtuache tu maana tutawapasua vichwa na wala haitokaa hata siku moja mkatuelewa...

Wewe unaweza kumwelewa kiumbe anaeweza kufanya vitu zaidi ya vitatu kwa wakati mmoja,,eehee si nakuuliza!!unaweza??au ulisikia wapi?

kiumbe anaeweza kupika,kuonsha vyombo wakati anapika,kumlisha mtoto wakati anapika,kumwogesha mtoto wakati mtoto mwingine kumbeba mgongoni huku anapika,na bado akamchanganya kiumbe anaeitwa mwanaume ambae mda huo pengine yuko buzy na mechi ya Tottenham vs Man city....hebu tuacheni kama tulivyo[emoji30][emoji30]
Wakati huo huo anapost status wasap, anapost JF analike FB halafu anaweka simu sikioni anaibana na bega anamuuliza yule alieyeenda kuangalia mechi anarudi saa ngapi?

Hahaaa
 
Wanawake wanaozungumzwa hapa siyo mama zetu nafkiri koz kama wewe umelelewa na mama yako yangu utoto halafu huelewi philosophy ya mama yako au ya nyumbani kwenu basi kuna shida mahali
 
Kaka!hebu tuendelee kuijenga nchi.mwandiko wako umeshanionyesha vitu vingi.ngoja niishie hapa.[emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635]
haya bwana.kiswahili fasaha ni onesha na siyo onyesha
 
Wakati huo huo anapost status wasap, anapost JF analike FB halafu anaweka simu sikioni anaibana na bega anamuuliza yule alieyeenda kuangalia mechi anarudi saa ngapi?

Hahaaa
😅😅mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa ajabu sana haki usicheke 😅😅

Imagine,anakaanga vitunguu jikoni huku anakatakata nyanya,simu iko sikion kaibana na bega anaongea na mtu,anakoroga uji wa ugali huku anasikiliza taarifa ya Habari 😆😆😆😆akisikia tukio la kusisimua ananyanyua macho kwa tv😅

Huyo 👆ni mimi kabisa Chakorii wala sijamtolea mfano mwanamke mwingine
 
Wanawake wanaozungumzwa hapa siyo mama zetu nafkiri koz kama wewe umelelewa na mama yako yangu utoto halafu huelewi philosophy ya mama yako au ya nyumbani kwenu basi kuna shida mahali
Kuna mmoja kasema hadi mama hapo ndipo nilipochoka
 
Huwa najiuliza kwa nini kwenye saluni zao za kusukana hawaweki Tv

Siwaelewi kabisa
 
Nimeshaagiza hapa rositi na nguna laini kabisa nikisindikiza na balimi.

Usiniache sasa na wewe nikaaibika maana mfukoni niko tee[emoji28][emoji28][emoji28](mzinga tayari)
Daah tena hapo kwenye balimi ndiyo umenifurahisha mara dufu [emoji4][emoji4]

Ni moja kati ya vinywaji vyangu pendwa japokuwa tunaotumia hiyo huwa tunaonekana washamba na wengine husema haijakaa kama bia ya kawaida imekaa kama gongo [emoji23][emoji23]
 
Ukijiona unalalamika sana kuhusu kupigwa mizingwa na mwanamke jua unapesa za mawazo kuliko mawazo yenyewe.hallelujah!

Mwanaume kamili mwenye kujua mwanamke anatakiwa atreatiwe vipi hawezi kuja na nyuzi za namna hii hapa [emoji16][emoji16]kwa huo muda hana.

Mkuu ukiendelea kutulalamikia utapoteza kujiamini kama mwanaume..halafu nashangaa sana unatolea wapi huo ujasiri wa kukilalamikia kiumbe kilichotokea ubavuni mwako?shame!
Ndo ujue mwanamke anaakili,ushawishi na ulaghai wa hali ya juu na ndo mana mkaambiwa muishi nasi kwa akili au unafikiri vitabu vitakatifu havikuyajua haya!

Jombaa kama unamwona mwanamke anakuomba sana pesa si unapiga chini amaaa...ya nini ujivalishe roho ya kidhaifu ya ulalamishi?

Au ukiona vipi tafuta mwanamke ambae yuko chini ya kiwango kakuomba sana 6500 ya kijora na 1500 ya kusuka twende kilioni mbona wapo wengi sana..

Hawa wenye kunukia perfume za gharama na kuvaa vizuri waache waendelee na safari watakufilisi.

Tafuta pesa mkuu hakuna namna.hayo malalamishi ya wanawake kupenda pesa waachie watoto waliozaliwa chini ya miezi tisa.hellooooo[emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
wakaushie ipo siku watapata hela
 
Back
Top Bottom