[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Jehovah..eti nimefanya nini??
Sikiliza brother,natamani nikupe mapini hapa lakini kwa comment yako hii naona nitakuova dozi bado hujafikia hatua ya mapini ambayo nilivyokuwa nataka kukupa.
No wanda maana hata hii habari ya wanawake kupenda pesa umeipata ig kwa 50....
Mi nafikiri nisiendelee sana lakini Itoshe kukwambia hakuna kiumbe atakuja kumwelewa mwanamke..tunajielewaga wenyewe au hata kuna uwezekano hata sisi pia tusijielewe..
Sasa wewe ni nani mpka utake kutuelewa??ehee sinakuuliza!wewe ni nani kwa mfano!!
Ushauri wangu,jitahidi sana usipingane na vitabu vitakatifu juu ya mwanamke na upunguze malalamishi mwanaume wewe kha!
tafuta fweza jombaa haya malalamishi waachie watoto wa secondary huko au ukiona vipi achana na kujihusisha na wanawake fanya mambo mengine ya kimaendeleo...mbona vitu vya kufanya vipo vingi tu ukiachana na wanawake!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1635][emoji1635][emoji1635]