Wanawake Wanataka Nini?

Wanawake Wanataka Nini?

Mwanamke anapenda mwanaume
Mwenye hela
Handsome
Anayempenda
Anayemjali
Shida inakuja kumpata mwenye vigezo hivyo ndio maana kuruka ni kwingi sana
 
Ukijiona unalalamika sana kuhusu kupigwa mizingwa na mwanamke jua unapesa za mawazo kuliko mawazo yenyewe.hallelujah!

Mwanaume kamili mwenye kujua mwanamke anatakiwa atreatiwe vipi hawezi kuja na nyuzi za namna hii hapa [emoji16][emoji16]kwa huo muda hana.

Mkuu ukiendelea kutulalamikia utapoteza kujiamini kama mwanaume..halafu nashangaa sana unatolea wapi huo ujasiri wa kukilalamikia kiumbe kilichotokea ubavuni mwako?shame!
Ndo ujue mwanamke anaakili,ushawishi na ulaghai wa hali ya juu na ndo mana mkaambiwa muishi nasi kwa akili au unafikiri vitabu vitakatifu havikuyajua haya!

Jombaa kama unamwona mwanamke anakuomba sana pesa si unapiga chini amaaa...ya nini ujivalishe roho ya kidhaifu ya ulalamishi?

Au ukiona vipi tafuta mwanamke ambae yuko chini ya kiwango kakuomba sana 6500 ya kijora na 1500 ya kusuka twende kilioni mbona wapo wengi sana..

Hawa wenye kunukia perfume za gharama na kuvaa vizuri waache waendelee na safari watakufilisi.

Tafuta pesa mkuu hakuna namna.hayo malalamishi ya wanawake kupenda pesa waachie watoto waliozaliwa chini ya miezi tisa.hellooooo[emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mimi nilikuwa napinga point yako inayosema kwamba wanawake ni wachapakazi kama farasi
 
kuna mwenzako amesema hapo juu kuwa hamjui mnachotaka
 
si kweli.50 Cent ni billionaire na anaweka wazi kuwa wanawake wanapenda hela huko Instagram..umepanick sister
 
Wanataka wanaume wafikirie na kuwa kama wao, yaani umbea nje nje na kuongelea masuala ya kulishana madushe na majirani au waume za watu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mimi nilikuwa napinga point yako inayosema kwamba wanawake ni wachapakazi kama farasi
Kwa kuwa mwanaume kazi yake ni kuamka asubuhi na kwenda kutafuta pesa basi huyu mwanamke anaefanya kazi za nyumbani yeye ni mvivu sio...ukipewa majukumu ya mwanamke kwa siku moja tu kwanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi lazima akili ikukae sawa
 
Namuelewa Sana !!!! Best woman,!!! Kapambana Sana kutulea mpka hapa tulipo mm na ndg zangu kila mtu ana maisha yake anajitegemea ! Una swali lingine ?

Mama yako wewe humuelewi ???

Hi ndo Tanzania ya vi-wonder
Mfungue akili huyo...
 
si kweli.50 Cent ni billionaire na anaweka wazi kuwa wanawake wanapenda hela huko Instagram..umepanick sister
😆😆😆😆😆 Jehovah..eti nimefanya nini??
Sikiliza brother,natamani nikupe mapini hapa lakini kwa comment yako hii naona nitakuova dozi bado hujafikia hatua ya mapini ambayo nilivyokuwa nataka kukupa.

No wanda maana hata hii habari ya wanawake kupenda pesa umeipata ig kwa 50....

Mi nafikiri nisiendelee sana lakini Itoshe kukwambia hakuna kiumbe atakuja kumwelewa mwanamke..tunajielewaga wenyewe au hata kuna uwezekano hata sisi pia tusijielewe..
Sasa wewe ni nani mpka utake kutuelewa??ehee sinakuuliza!wewe ni nani kwa mfano!!

Ushauri wangu,jitahidi sana usipingane na vitabu vitakatifu juu ya mwanamke na upunguze malalamishi mwanaume wewe kha!

tafuta fweza jombaa haya malalamishi waachie watoto wa secondary huko au ukiona vipi achana na kujihusisha na wanawake fanya mambo mengine ya kimaendeleo...mbona vitu vya kufanya vipo vingi tu ukiachana na wanawake!!😅😅😅🥂🥂🥂
 
Kwa kuwa mwanaume kazi yake ni kuamka asubuhi na kwenda kutafuta pesa basi huyu mwanamke anaefanya kazi za nyumbani yeye ni mvivu sio...ukipewa majukumu ya mwanamke kwa siku moja tu kwanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi lazima akili ikukae sawa
hapo sawa
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Jehovah..eti nimefanya nini??
Sikiliza brother,natamani nikupe mapini hapa lakini kwa comment yako hii naona nitakuova dozi bado hujafikia hatua ya mapini ambayo nilivyokuwa nataka kukupa.

No wanda maana hata hii habari ya wanawake kupenda pesa umeipata ig kwa 50....

Mi nafikiri nisiendelee sana lakini Itoshe kukwambia hakuna kiumbe atakuja kumwelewa mwanamke..tunajielewaga wenyewe au hata kuna uwezekano hata sisi pia tusijielewe..
Sasa wewe ni nani mpka utake kutuelewa??ehee sinakuuliza!wewe ni nani kwa mfano!!

Ushauri wangu,jitahidi sana usipingane na vitabu vitakatifu juu ya mwanamke na upunguze malalamishi mwanaume wewe kha!

tafuta fweza jombaa haya malalamishi waachie watoto wa secondary huko au ukiona vipi achana na kujihusisha na wanawake fanya mambo mengine ya kimaendeleo...mbona vitu vya kufanya vipo vingi tu ukiachana na wanawake!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
kwani wapi nimelalamika[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Soma post yangu vizuri
 
Kwa kuwa mwanaume kazi yake ni kuamka asubuhi na kwenda kutafuta pesa basi huyu mwanamke anaefanya kazi za nyumbani yeye ni mvivu sio...ukipewa majukumu ya mwanamke kwa siku moja tu kwanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi lazima akili ikukae sawa
kwa hiyo housegirl muhimu
 
Kwa kuwa mwanaume kazi yake ni kuamka asubuhi na kwenda kutafuta pesa basi huyu mwanamke anaefanya kazi za nyumbani yeye ni mvivu sio...ukipewa majukumu ya mwanamke kwa siku moja tu kwanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi lazima akili ikukae sawa
Aisee hebu agiza mdudu moto na bia baridi hapo bill yote juu yangu mimi
 
Nimeshaagiza hapa rositi na nguna laini kabisa nikisindikiza na balimi.

Usiniache sasa na wewe nikaaibika maana mfukoni niko tee😅😅😅(mzinga tayari)
 
Kwa kuwa mwanaume kazi yake ni kuamka asubuhi na kwenda kutafuta pesa basi huyu mwanamke anaefanya kazi za nyumbani yeye ni mvivu sio...ukipewa majukumu ya mwanamke kwa siku moja tu kwanzia asubuhi mpaka kesho yake asubuhi lazima akili ikukae sawa
Uko sawa mkuu
 
Back
Top Bottom