Wanawake Wanataka Nini?

Wakati huo huo anapost status wasap, anapost JF analike FB halafu anaweka simu sikioni anaibana na bega anamuuliza yule alieyeenda kuangalia mechi anarudi saa ngapi?

Hahaaa
 
Wanawake wanaozungumzwa hapa siyo mama zetu nafkiri koz kama wewe umelelewa na mama yako yangu utoto halafu huelewi philosophy ya mama yako au ya nyumbani kwenu basi kuna shida mahali
 
Kaka!hebu tuendelee kuijenga nchi.mwandiko wako umeshanionyesha vitu vingi.ngoja niishie hapa.[emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635]
haya bwana.kiswahili fasaha ni onesha na siyo onyesha
 
Wakati huo huo anapost status wasap, anapost JF analike FB halafu anaweka simu sikioni anaibana na bega anamuuliza yule alieyeenda kuangalia mechi anarudi saa ngapi?

Hahaaa
πŸ˜…πŸ˜…mwanamke ni kiumbe mwenye uwezo wa ajabu sana haki usicheke πŸ˜…πŸ˜…

Imagine,anakaanga vitunguu jikoni huku anakatakata nyanya,simu iko sikion kaibana na bega anaongea na mtu,anakoroga uji wa ugali huku anasikiliza taarifa ya Habari πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†akisikia tukio la kusisimua ananyanyua macho kwa tvπŸ˜…

Huyo πŸ‘†ni mimi kabisa Chakorii wala sijamtolea mfano mwanamke mwingine
 
Wanawake wanaozungumzwa hapa siyo mama zetu nafkiri koz kama wewe umelelewa na mama yako yangu utoto halafu huelewi philosophy ya mama yako au ya nyumbani kwenu basi kuna shida mahali
Kuna mmoja kasema hadi mama hapo ndipo nilipochoka
 
Huwa najiuliza kwa nini kwenye saluni zao za kusukana hawaweki Tv

Siwaelewi kabisa
 
Nimeshaagiza hapa rositi na nguna laini kabisa nikisindikiza na balimi.

Usiniache sasa na wewe nikaaibika maana mfukoni niko tee[emoji28][emoji28][emoji28](mzinga tayari)
Daah tena hapo kwenye balimi ndiyo umenifurahisha mara dufu [emoji4][emoji4]

Ni moja kati ya vinywaji vyangu pendwa japokuwa tunaotumia hiyo huwa tunaonekana washamba na wengine husema haijakaa kama bia ya kawaida imekaa kama gongo [emoji23][emoji23]
 
wakaushie ipo siku watapata hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…