Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

anaesthetist

Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
27
Reaction score
22
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.

Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.

Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
 
Mh,haya bana ila naona huku umekosea mkuu ungeweka hii thread kwenye forum ya matangazo madogo madogo.
 
Mkuu vipi mkwanja unao!? usikute wanakusifu sababu wameona mkwanja. Mi mbona wa huko lkn sijawahi sifiwa!??
Labda nyota ila mie huwa wananibia hivyo wanawake tofauti.
Mkwanja sina, naingiza kati ya elfu 25-30 kwa siku na nina vimajukumu.
 
Halafu wa mkoani hao, kutwa kuponda wanaume wa dar
Dar ndo niishipo, mnyakyusa ila shughuli zangu nyingi nafanya dar, tandika ndo maskani. Huku mkoani nafuata nakuja sababu ya shughuli zangu.
 
Back
Top Bottom