Wewe rudi kutetea uzi Wachaga meku.Sisi wanaume wafupi vibatari tupite wap kwenye huu uziπ
Mbona hujawahi kusema?Kiukweli ninapenda wanaume warefu.niwe mkweli tu.
Khaaaa!Babuuuu....
Ngoja niwaite michepuko yako yote ikuje tujadili kwanini humalizagi ukaguzi...π π π
Tunatembeza moto bila huruma.Naona wanasifiwa sana hadi kuombewa kwenda Peponi[emoji51][emoji51]
Wanawake nyie.[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
View attachment 2542909
Ndio utujuzeNyie hamjui tuππ
Acha ibaki tu kuwa siri ya kambi...Ndio utujuze
πππSasa Firdaus9, kwa hii comment yako kweli tutafika pepo ya Firdaus..!!?
Share nasi pleaseAcha ibaki tu kuwa siri ya kambi...
Siwezi sema kitu hadi mwanasheria wangu afikeShare nasi please
Wakili msomi Depal mwanasheria halali fika huku unahitajika na boss wako πSiwezi sema kitu hadi mwanasheria wangu afike
Sawa nitafanya hvyoAkifika nishtue tasavali