Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Sikuonaga hii tag.

Tall, medium dark. Not dark like usiku wa manane and mvuto uwepo. The Heaven belongs to them.
Pia Little light skin, asiwe mnene, mfupi mrefu… pia hao mbingu yao 😂😂

Binafsi I love my man
He fits me in all aspects
mambo ya urefu na ufupi achia kina Lenie

Ila muhimu mwanaume amzidi babe wake urefu. Kama mke ni ft 5.00 basi mume awe 5.3. Sio mume ft 4 af mke ft 6. Hiyo kituko mtayosababishia watu huko njiani 😂😂😂
 
Huu unyanyapaa tutaenda mahakamani. Now mnaleta issues za wapare...Mungu anawaona na dhihaka zenu[emoji174]
 
Sikuonaga hii tag.

Tall, medium dark. Not dark like usiku wa manane and mvuto uwepo. The Heaven belongs to them.
Pia Little light skin, asiwe mnene, mfupi mrefu… pia hao mbingu yao 😂😂

Binafsi I love my man
He fits me in all aspects
mambo ya urefu na ufupi achia kina Lenie

Ila muhimu mwanaume amzidi babe wake urefu. Kama mke ni ft 5.00 basi mume awe 5.3. Sio mume ft 4 af mke ft 6. Hiyo kituko mtayosababishia watu huko njiani 😂😂😂
Naomba nikujibu private maana umeandika mengi ya kupotosha umma😂😂
 
Back
Top Bottom