Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Kweli
Hata out mtu ukitupia ka heels kakakulift up usimpite chibaba

Cc Chakorii
Kweli kabisa😍😍😍

My love D huyu niliyenae kwakweli hata nikivaa heels wallah huyu jamaa siwezi kumpitaπŸ˜€πŸ˜€ni super tall haswa.

Kweli nilivyoandunje hivi kweli nichukue andunje mwenzangu…hapana si kweli
 
Sababu Moja Nyengine ni muonekano,mungu kama kakupa urefu kama Mimi jitahidi ufanye mazoezi,uone wanawake watavyokutaka..
 
Back
Top Bottom