Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

Labda ulikuja na ID tofauti. Yaan nikuone PM na hii Mzabzab haki ningekua nacheka tu sijui kama ningekujibu lolote sababu akili yako naijua ishavurugwa
Wee sii nilikutongoza nikakwambia ujue mie napenda tall sexy ladies. Alafu ukumbuki nikakuulize wat pantys u got on....ndio hapo ukanitupia matusi
 
Yeye kaona wanaume wembamba na warefu tu. Huu si ubaguzi mchana kweupe. .
Kwa kifupi wanawake wengi hupendelea wanaume kiasi,mwanaume akiwa mnene na mwanamke kakolea hasa kifo cha nani yule hutamani abane mapaja yake mpaka miguu yake igusane ila ndo inakuwa haiwezekani ijapo kwa mwembamba kuna ka unafuu. Lkn pia mwanaume mwembamba kiasi ana-fit kwenye medani karibu kila style.
 
Binafsi sipendi kua mwembamba aisee , kuna watu ni vimbaumbau mpaka unajiuliza huyu mwamba anakula magazegi ama.

Unashangaa zaidi unamkuta anakunywa nyagi kavu, sasa sijui inaenda wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…