Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Huyu muongo anachangamsha genge tu hapa😂 Labda alikosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu muongo anachangamsha genge tu hapa😂 Labda alikosea
Wee sii nilikutongoza nikakwambia ujue mie napenda tall sexy ladies. Alafu ukumbuki nikakuulize wat pantys u got on....ndio hapo ukanitupia matusiLabda ulikuja na ID tofauti. Yaan nikuone PM na hii Mzabzab haki ningekua nacheka tu sijui kama ningekujibu lolote sababu akili yako naijua ishavurugwa
Ngoja alete screenshot 😂Huyu muongo anachangamsha genge tu hapa
Hahaa ngoja tuoneNgoja alete screenshot 😂
😂 sawaHahaa ngoja tuone
🤣🤣🤣 Hee! Sina habari mie. Kwa nini umeamua kunisingizia?!Wee sii nilikutongoza nikakwambia ujue mie napenda tall sexy ladies. Alafu ukumbuki nikakuulize wat pantys u got on....ndio hapo ukanitupia matusi
Nakuoend kelsea ujue basi tuu wee ndio mwanamke unayenioa raha🤣🤣🤣 Hee! Sina habari mie. Kwa nini umeamua kunisingizia?!
Kwa kifupi wanawake wengi hupendelea wanaume kiasi,mwanaume akiwa mnene na mwanamke kakolea hasa kifo cha nani yule hutamani abane mapaja yake mpaka miguu yake igusane ila ndo inakuwa haiwezekani ijapo kwa mwembamba kuna ka unafuu. Lkn pia mwanaume mwembamba kiasi ana-fit kwenye medani karibu kila style.Yeye kaona wanaume wembamba na warefu tu. Huu si ubaguzi mchana kweupe. .
Urefu wa uume hauhusini na kimo, jidanganye.Uume mrefu - unafika vizuri’ hili ndio kuu
Comfidence - mwanamke hujihisi na ulinzi mzuri
Muonekano mzuri- binafsi napenda wanawake warefu pia huwa wanaonekana vizuri- muonekano safi - (finito)
Wivu wa nini tena babu jamaniNimefadhaika sana... Nimeishiwa pozi.
Dah... Kumbe sio roho inauma, huu ni wivu.
Nadhani umenielewa😂Nitafanya hivyo 🤗
Sio kupenda kwako ni hali ya maisha🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duhh! Hatari.Nakuoend kelsea ujue basi tuu wee ndio mwanamke unayenioa raha
Kabisa sitokuangusha 😄Nadhani umenielewa😂
Sahihi. Kuna warefu wana vipisi.Urefu wa uume hauhusini na kimo, jidanganye.
Njoo basi leo gheto tupige story[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] duhh! Hatari.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha uwongo, wanaume warefu wana ma deliboloz makubwa
Sio wote ohooo wapo warefu wenye vipisi.Wacha uwongo, wanaume warefu wana ma deliboloz makubwa