sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza mpenda mwanaume sababu ya kucha za mikono? Na hizo kucha nzuri zinakuaje?
Update
Mmoja kanitumia hivi
Update
Mmoja kanitumia hivi