Wanawake wanavutiwa na kucha za wanaume?

Wanawake wanavutiwa na kucha za wanaume?

Ndiwooo, afu avae sandals sasa tunadata.
We just spend our whole lives sh*tting on men's egos telling them they're the reason for everything that's wrong in the world, whilst simultaneously protecting women's egos by telling them they're "just as good and valuable as a man, if not more so" despite demanding less of them
 
Ukiacha replies za utani hapo juu, ukweli ni kwamba wanawake wanapenda kuangalia kucha za miguuni za wanaume na kuhusianisha na uvaaji wa sendo. Shahidi katika hili ni mke wangu, hupenda sana kunisifia hicho kitu na kunitaka niwe navaa sendo.

Hili huenda sambamba hata na kwa wanaume, baadhi ya wanaume nafikiri ni wengi wao hupenda kuangalia kucha za miguuni za wanawake, tofauti yake sisi hatutoi comments zozote baada ya kuziona.
 
Back
Top Bottom