luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
Kucha nzuri bila pesa tu upendwe? Mmmmmh?Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza mpenda mwanaume sababu ya kucha za mikono? Na hizo kucha nzuri zinakuaje?
Update
Mmoja kanitumia hivi
View attachment 2298672