Wanawake wanavutiwa na kucha za wanaume?

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza mpenda mwanaume sababu ya kucha za mikono? Na hizo kucha nzuri zinakuaje?

Update

Mmoja kanitumia hivi

 
Unakichaaa nini unawezaje kuanzisha nyuzi Kama hi kweli duh akil huna
 
Mishoga ya kiume mipaka kucha rangi sasa hivi imevamia jamii forums Ee Mungu tunusuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…