Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Choosen85

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2022
Posts
1,143
Reaction score
2,475
Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness.

Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8.

Sasa hawa ndiyo wanagonga sana dada zetu. Tofauti kabisa na vijana wenye mipango na malengo huwa mara nyingi wanawake wanawakataa mpaka ajazwe mimba na muhuni ndiyo anatafuta mtu makini.

Fatilieni naamini wapo humu wanalijua hili watatoa shuhuda zao.
 
Ni hivi, hawapendi mtu serious wa kumganda muda mwingi atakosa Uhuru kufanya biashara zake,

Wasishana wengi kwa Sasa wanafanya biashara ya ukahaba, so anakuwa huru kuhang up na wahuni na yeye kuwa free kwenye biashara.

Trust me mabinti wa mama tunaoishi nao mitaani unawaona wametulia utadhani wa malaika, wanafanya biashara.
 
Ni hivi , hawapendi mtu serious wa kumganda muda mwingi atakosa Uhuru kufanya biashara zake ,,,

Wasishana wengi kwa Sasa wanafanya biashara ya ukahaba ,, so anakuwa huru kuhang up na wahuni na yeye kuwa free kwenye biashara
Trust me mabinti , wa mama tunaoishi nao mitaani unawaona wametulia utadhani wa malaika , wanafanya biashara
kama nimekuelewa hivi
 
Back
Top Bottom