Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

Nipate wa kufanana nae.
God when???

2A23FDFB-F7F7-4967-9E51-46D47459D460.jpeg
421A5553-9477-4371-9B6E-FCE52F124F4D.jpeg
 
Salaam wakuu

your the weapons against the kingdom of darkness.

Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8.

Sasa hawa ndiyo wanagonga sana dada zetu. Tofauti kabisa na vijana wenye mipango na malengo huwa mara nyingi wanawake wanawakataa mpaka ajazwe mimba na muhuni ndiyo anatafuta mtu makini.

Fatilieni naamin wapo humu wanalijua hili watatoa shuhuda zao.
Embu ngoja kwanza;
Mshikaji wangu Bantu Lady eti ni kweli haya?
Dadaangu To yeye hili alilosema huyu Choosen85 lina ukweli wowote?
Mamdogo wangu Amehlo sema neno hapa nipate kuelewa, kwani yule uliyemsema naye ni muhuni?
Shemela Evelyn Salt embu mwaga mipwenti hapa
binti kiziwi hili umewahi kulisikia?
 
Back
Top Bottom