Wanawake wanaweza kukupa kesi ya ubakaji so kuweni makini vijana.

Zaidi ya 90% ya kesi za ubakaji ambazo tunaziskia mara kwa mara miaka ya leo hii huwa ni za kutengenezwa yaanj hazina ukweli wowote...

Mara nyingi unakuta ni regrettable sex yaani ile sex ya makubaliano ambayo mwanamke anajutia kufanya na wewe hapo ni baada ya kukosa vile vitu alivyotarajia kutoka kwako na ikapelekea mkakosana, basi anaamua kugeuza kibao kwamba ulimbaka hili tu kukukomesha na yeye atulize hasira zake au ujiongeze kumpatia fedha.

Au mara nyingine, unakuta mpango inasukwa na kikundi cha watu ambao ni maadui zako wakishirikiana na daktari hili kukuharibia reputation yako ukwame kwenye jambo fulani na mara nyingi hii wanafanyiwa sana watu wazito wenye nyadhifa kwenye jamii, na nyenzo kuu wanayoitumia huwa ni mtoto mdogo, ambaye wanaamini atavuta public sympathy na watu kuamini hizo tuhuma kwa haraka.

Lakini haya masuala ya wanaume kubambikiziwa kesi za ubakaji, yameshamiri kwa sababu jamii yetu imekumbwa na mfumo jike, ambapo mwanaume anachukuliwa kama potential criminal na tuhuma zozote za unyanyasaji anazopewa zinamuweka hatiani mpaka pale atakapokuwa proven innocent...

Na bahati mbaya zaidi hatuna sheria kali za kuwaadabisha hao false rape accusers...!!
 
Hakika
 
Popote unapokaa usimuhurumie mwanamke au kujenga nae mazoea .

Hii ni kwa vijana ambao hamjaoa so stay alerts

Wakizikosa hela zako the next step utapewa kesi ya ubakaji n.k

Hawa viumbe wamechafukwa.
Niliwahi kuandika hiki kitu humu kuwa diamond kuna siku atapewa kesi ya ubakaji maana hachagui anazoa hadi kuKu wa kienyeji
 
swadakta kabisa kumbe tuko wengi tunaoliona hili likitokea huko mbeleni..!!

Mimi nimewahi kumwambia mpaka jamaa ambaye yuko kwenye circle ya Diamond, kuwa rickless promiscous lifestyle anayoishi Diamond ya kutomba tombaa tu wanawake ovyo kuna siku itamgharimu career yake hata kama sio leo...!!

leo tunashuudia P didy akitiwa hatiani kwa kesi za matukio ya ubakaji ambayo aliyafanya miaka ya nyuma, kipindi ambacho alitumia umaarufu wake kufanya ngono kiholela.

Hivyo hivyo pia itakavyokuwa kwa Diamond, hawa mabinti ambao anafanya nao ngono kisha anaachana nao kwa ugomvi sijui hataki kuwalipia hela ya kodi ndio watakaokuja kummaliza miaka 10 ijayo..

... na bahati mbaya akishaanzisha mmoja tu kukushtaki, wanajitokeza wengine kama 10 hivi wanaodai kuwa na wao walibakwa hapo hapo wanajitokeza na mawakili wakujitolea upande wa mashtaka.
 
Kabisaa yule mkuu wa mkoa wa Mara mwaka jana yalimkuta,atakuja binti kapewa script nzima,anakupoteza au unamlipa mamilioni kumpoza asifike mbali kesi za ubakaji zimepoteza wengi,babu seya kapoteza muelekeo yeye na uzao wake
 
Back
Top Bottom