Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

de Gunner

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
2,044
Reaction score
4,558
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect kubwa kwenye mtongozo.

Kingine semen retention wakuu, ili uwavutie punguzeni puli. Attractive nature ya mwanaume pia inaambatana na semen retention. Lastly kama ww ni kapuku stop chasing women utapoteza mda na nguvu bure. Jitengenezee success in whatever form na utakuwa valued.
 
hamna kitu yeyote wananusa ila wanaume tunakuwa open kwao ila kudanganywa wanadanganyika hata na sisi wanaume tunadanganywa vizuri tu vizuri wanaamini uko na kitu kumbe hamna kitu....asilimia kubwa ina tegemea akili ya mwanaume ikoje
 
Aiseeeh! huyu mama "yoyoo" ana uvumilivu kweli kweli, enzi hizo ananiambia " hata kama hauna pesa nakutaka wewe tu handsome boy wangu"

hadi sasa na umasikini wetu tunafurahi tu bila shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…