Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Tatizo swagger hamna, ukiwa na pesa swagg hamna napo shida tu, wanawake wanataka swagg..

Sasa myahudi ana pesa unakuta amevaa suti nyeusi na yale makofia ya Marlboro ya cowboy halafu ndevu kama Osama, halafu sijui wanaviringisha nywele kama rastaa, swagga zero...
Hahaha una vituko. Cheka balaa
 
Umenichekesha sana aisee! Yaani umenisema mimi jamaa yangu, siku hizi wife ananiambia busara imepotea kabisa! Kuvurugwa maisha haya si mchezo mkuu
Hii comment yako 8menifanya ni login wakati sikuwa na mpango huo wallahi!
 
Naona kuna ubishani umeibuka ndani ya huu uzi kuhusu puli. Kiukweli puli ni jambo la hovyo lisilofaa kufanywa na mwanaune yeyote. Wapiga puli wengi wanajichukia sana. Wengi wao wameshapatwa na aibu za kutosha wanapopanda kitandani kumshughulikia mwanamke. Kama kuna mpiga puli hajawahi patwa na aibu yoyote basi atakuwa ni chipukizi. Kama wewe mwenyewe unajichukia huwezi ku-attract mtu.

Lakini kwa upande mwingine kama alivyosema MPIGAPULI aliyetambulika kwa ID ya Uzalendo Installer ni kweli ukosefu wa lishe bora huvuruga sana mwonekano wa mtu. Hata ukivaa nguo nzuri na viatu ila sura na ngozi zinakusaliti. Ninashauri tule vizuri na kutopiga PULI.
Mpiga puli anajichukia, sio kweli hizo hisia zako
Kupatwa na aibu hilo ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote kuna siku machine inagoma katikati tu...
Kwenye Lishe, hapo ndio kitu cha msingi...tule vizuri nguvu tunazo..
 
Facts
 
Hawa viumbe wako so sensitive kujua ww ni mtu wa aina gani just by looking at you, or kwenye first conversation. So pisi itakuelewa based on vitu vidogo ambavyo usingeweza kuvijua vina effect kubwa kwenye mtongozo.

Kingine semen retention wakuu, ili uwavutie punguzeni puli. Attractive nature ya mwanaume pia inaambatana na semen retention. Lastly kama ww ni kapuku stop chasing women utapoteza mda na nguvu bure. Jitengenezee success in whatever form na utakuwa valued.
Wabongo wa jinsia zote wanajua kweli kweli kunusa mafanikio. Ukiwa na fedha halafu zikaisha ndiyo utalewa ninachosema.
 
Mpiga puli anajichukia, sio kweli hizo hisia zako
Kupatwa na aibu hilo ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote kuna siku machine inagoma katikati tu...
Kwenye Lishe, hapo ndio kitu cha msingi...tule vizuri nguvu tunazo..
Wapiga puli wengi kisaikolojia hawapo sawa. Mashine kugoma inaweza kutokea kwa nadra sana kwa mtu ambaye hapigi puli. Wapiga puli wao ni mara nyingi sana.
 
Mkuu mwanamke anajua sana, trust me unaweza jificha ukamfool once uka hit ila baadae atajua who you are, you can't fool these creatures about feeding false info playboys ndo kazi zao. Ambao target zao ni wanawake wasio na mbele wala nyuma... angalia watu wanaopata madem kirahisi they've nothing to prove. Kingine wanawake hupenda kuenenda jinsi unavyomtreat hata kuambia ka notice kitu hata siku moja ww utahisi hajui
Appreciate 👍
 
Back
Top Bottom