Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Wanawake wanaweza kusmell success yako na personality traits

Kuna wale wakaka wakimya ukikaa nae anaongea kwa kituo wana pepo yao..!🤸
Af kuna wale wakiongea ni sentensi ya utekelezaji, Wakifika mbinguni wasipewe hata kazi ya kuimba wawepo tu wanatikisa kichwa huku wamekunja nne
 
Wengine tupo tupo tuu na mishangazi sa sijui inatuelewa kwa sababu gani...

Kama kila kitu yeye ndo provider
Mashangazi yanaraha yake ila kama mwanaume hatujaumbiwa kupewa raha, tumeumbwa kutoa raha. You have to be the core provider lasivyo kuna nafsi itakua inakusuta flan hivi
 
Upo sahihi - kuhusu power of intuition wan awake wanaona mbele Sana

Ila inategemea usije itafuta intuition kwa depressed women utaumia

Personally I used to talk with my Mama she is the one who gave me the right insight in my life.
I've not talked about depressed women either am talking about real awakened women. Wanaojua thamani yao, hao wengine hata ukimnunulia kiyepe twende tu bado hawajawa na maturity ya kusense au inakuwa blocked due to kashlash za duniani. Mm nimejifunza kwa ku engage nao kwa sana wakanifungulia codes
 
Mashangazi yanaraha yake ila kama mwanaume hatujaumbiwa kupewa raha, tumeumbwa kutoa raha. You have to be the core provider lasivyo kuna nafsi itakua inakusuta flan hivi
Basi hiyo nafsi ipo kwa wengine mkuu ila sio mimi...
Serious sojawahi jilaumu tangu niwe na mahusiano na watu wa namna hii.

Mkuu assume mtu ana ku treat as if ni mtoto wake...
Aaaaah acha tuu daah kuna siku taandika uzi humu sema wasifute tu maana mod wanazingua
 
Ni kweli mzee ile treatment ni ya aina yake ila.... ngoj niishie hapo. It depends na nn unapendelea, ni bora lishangazi liwe kama lifariji hivi in times of troubles
 
I've not talked about depressed women either am talking about real awakened women. Wanaojua thamani yao, hao wengine hata ukimnunulia kiyepe twende tu bado hawajawa na maturity ya kusense au inakuwa blocked due to kashlash za duniani. Mm nimejifunza kwa ku engage nao kwa sana wakanifungulia codes

Mkuu wewe hata usipofunguliwa code utafanikiwa Unajutambua Sana nakufatilia -you hold the success in ur hands .
 
Naona kuna ubishani umeibuka ndani ya huu uzi kuhusu puli. Kiukweli puli ni jambo la hovyo lisilofaa kufanywa na mwanaune yeyote. Wapiga puli wengi wanajichukia sana. Wengi wao wameshapatwa na aibu za kutosha wanapopanda kitandani kumshughulikia mwanamke. Kama kuna mpiga puli hajawahi patwa na aibu yoyote basi atakuwa ni chipukizi. Kama wewe mwenyewe unajichukia huwezi ku-attract mtu.

Lakini kwa upande mwingine kama alivyosema MPIGAPULI aliyetambulika kwa ID ya Uzalendo Installer ni kweli ukosefu wa lishe bora huvuruga sana mwonekano wa mtu. Hata ukivaa nguo nzuri na viatu ila sura na ngozi zinakusaliti. Ninashauri tule vizuri na kutopiga PULI.
 
Ni kweli mzee ile treatment ni ya aina yake ila.... ngoj niishie hapo. It depends na nn unapendelea, ni bora lishangazi liwe kama lifariji hivi in times of troubles
Mkuu mi sijari wala nini ila ndo hivo nainjoi kiufupi...
Wabarikiwe sana
 
Screenshot_20240529_184840_WhatsApp.jpg
 
Kweli mkuu utasikia "naomba unioe"Hadi unashangaa!
Hasa kwenye college zetu hizo!
Hizi naomba unioe nishaambiwa na wanawake 4 mpaka sasa. Ajabu mpaka sasa sijaowa. Mmoja kati yao ameshaolewa. Yule alikua obsessed sana na ndoa, sidhani kama yalikua mapenzi.
 
Kama wayahudi
Tatizo swagger hamna, ukiwa na pesa swagg hamna napo shida tu, wanawake wanataka swagg..

Sasa myahudi ana pesa unakuta amevaa suti nyeusi na yale makofia ya Marlboro ya cowboy halafu ndevu kama Osama, halafu sijui wanaviringisha nywele kama rastaa, swagga zero...
 
Nilikua hivyo zaman enz hizo na nilikua nikifungua kinywa ni point tupu, wife alinipendea hii tabia.
Siku hiz nisha vurugwa nachonga ile mbaya 😂
Umenichekesha sana aisee! Yaani umenisema mimi jamaa yangu, siku hizi wife ananiambia busara imepotea kabisa! Kuvurugwa maisha haya si mchezo mkuu
 
Back
Top Bottom