Anhaa, Ni hivi
Ukiwa msafi yani pure, nwili wako haujatumika katika njia ya kujamiiana kwa utaratibu usio sahihi. Yani kuzini, basi mwili wako unakuwa na attraction au Energy ambayo ina vibrate katika Frequencies ambazo ni positive.
Hivyo hupelekea kuwa na mvuto mkali hasa pale ambapo unakuwa karibu na watu wa jinsia tofauti na yako.
Unaweza jiuliza kwanini mabinti hawaishi kukuganda, kumbe ni kwasababu una attract na sio ku chase.
Kumbuka hii mda hueleweka zaidi kwa kufuata misingi ya Energy, Frequency na Vibration.