Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Huyu mrembo wangu ananihudumia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi, mwili umenawili hatari; kweli nimeamini wanawake vibonge na wenye chura za kuvutia, huwanenepesha waume zao.

Hii hali imenifanya nikumbuke mahusiano yangu ya huko nyuma, ambapo nilikuwa nakutana na wenye miili ya kawaida, kusema kweli nilikuwa nakonda sana ila wao wakawa wananenepa; kwa leo nahitimisha kwa kusema, wanawake wanene na wenye chura za kuvutia huwanenepesha waume zao.​
 
Back
Top Bottom