Wanawake wanene na wenye shepu za kuvutia huwanenepesha waume zao

Sio tangazo mkuu, bali ni ushuhuda 😀
Hili ni tangazo Huwa ni kawaida tu Kwa Kila mwanamme iwapo ataridhika na kupunguza stress ni lazima anenepe Sasa wewe umekukuta huo wakati upo Kwa chibonge unadhani ni chibonge kasababisha

Wala siyo chibonge wako Bali mwili wako upo ktk stage hiyo

Narudia hili ni tangazo watu mkijaaa jamaaa kapata ujiko

Wembamba njooni mumchambe huyu 🤣
 
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi, mwili umenawili hatari; kweli nimeamini wanawake vibonge na wenye chura za kuvutia, huwanenepesha waume zao.

Hii hali imenifanya nikumbuke mahusiano yangu ya huko nyuma, ambapo nilikuwa nakutana na wenye miili ya kawaida, kusema kweli nilikuwa nakonda sana ila wao wakawa wananenepa; kwa leo nahitimisha kwa kusema, wanawake wanene na wenye chura za kuvutia huwanenepesha waume zao.​
Mimi awe mwembamba koote anenepe makalio tu kama hivi 👇🏾

images (2).jpeg
 
Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi, mwili umenawili hatari; kweli nimeamini wanawake vibonge na wenye chura za kuvutia, huwanenepesha waume zao.

Hii hali imenifanya nikumbuke mahusiano yangu ya huko nyuma, ambapo nilikuwa nakutana na wenye miili ya kawaida, kusema kweli nilikuwa nakonda sana ila wao wakawa wananenepa; kwa leo nahitimisha kwa kusema, wanawake wanene na wenye chura za kuvutia huwanenepesha waume zao.​
Tuendelee kuishukuru serikali ya awamu ya sita
 
Hili ni tangazo Huwa ni kawaida tu Kwa Kila mwanamme iwapo ataridhika na kupunguza stress ni lazima anenepe Sasa wewe umekukuta huo wakati upo Kwa chibonge unadhani ni chibonge kasababisha...
We nenda na hao wembamba, ukirudi umekongoroka, utakuja kuthibitisha huu uzi 😀
 
Back
Top Bottom