Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tafuta vibonge uje na wewe ulete ushuhudaSema kweli?
Huku huku jf, kibonge atakuwepo?Tafuta vibonge uje na wewe ulete ushuhuda
Watakuwepo, watangazie tenda 😀Huku huku jf, kibonge atakuwepo?
Unaona Kuna mwingine hapo kashasema tayari kua unene ni utumwa. Kazi kwako ndugu mtoa madaVita unayoianzisha na wanawake wembamba sijui Kama utaiweza. Ngoja waje
Ww nakutaka nilishakwambiaunene ni utumwa
Wengi wao sio wachoyo, wanapenda sana tendoWanawake vibonge wapewe maua yao.
Fanya mazoezi uwe kibonge mwepesiiunene ni utumwa
Najua mtajitetea tuunene ni utumwa
Huyo anajitetea tuUnaona Kuna mwingine hapo kashasema tayari kua unene ni utumwa. Kazi kwako ndugu mtoa mada
Kwa namna anavyojituma, sitegemei kumuacha 😀Umeoa au ndio nae atakuwa mahusiano yaliyopita! Sikusikia tangazo la ndoa mzee na tupo hapa daily😀
Hongera
Kiukweli wanene walio wengi hawana mambo mengi