Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Mimi naonaga labda ni mifupa sababu dada yangu sioni kama ni mnene ila ni giant kama irene uwoya, mimi pia nikijiangalia kwenye kioo sijioni kibonge
Kwani una kitambi?๐Ÿ˜‚
Kuwa na kilo 95 haina maana ni overweight ndio maana kuna BMI calculation. Height Vs Weight.
 
Mechi ya hawa hakuna kupoa ni bandika bandua. Hawa ndio wanahitaji mazoezi ya kutosha na mlo mzuri vinginevyo you'll be in trouble.

Uzuri wa vibonge wanafika kwa pick bila mbwembwe nyingi na mwanaume hachukui muda mrefu because wako very hot kama tanuru. Iwe bonge au mwembamba kila mmoja ana mvuto wake. Mimi napiga wote.
 
Daah! Nilienda nchi moja wanawake vimiili vidogo hata mzuka nikakosa.Mungu fundi ndani ya mwezi mmoja nikakutana na bonge sehemu ya kula.Nikasema hapa hata udomo zege napiga chini lazima nimuibukie. Basi buana ndiyo kama hivyo, Vibonge wote dhambi zenu na misalaba tunaibebe ila kwa wale wasafi pekee.
 
Kuna mmoja nilikuwa naye jana kanipasua fifty sema naona kama nimemuibia mtoto mweupee trako laine kama mlenda mungu anajua kuumba nyie kuna mda kanambia baby nichue mkono unauma nimeshika mkono tu mix by yas inasoma 5G dah ila lile toto halafu linavyojua kudeka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ