Wanawake wanene (vibonge) piteni hapa mchukue maua yenu

Sahihi mkuu, hawa watu wana kitu cha ziada, huhitaji kutumia nguvu kubwa katika suala zima la kwenda goli nyingi.
 
Sema wanawake wenye hips kubwa na matako makubwa sio wanawake vibonge. Kuna wanawake vibonge wako wako viboko hawaeleweki kiuno kimeanzia wapi.

Siku kuna wanawake Wembley ila kuanzia kiuno kushuka chini ni balaa. Sio vibonge ila wana umbo matata sana.
 
mbona wao wako busy, kupunguza uzito ili wawe portable, na ndyo mahitaji ya wanaume walio wengi, me included!
Ki afya wapo sahihi kufanya hivyo ila kihisia, kingono, kwangu sioni sahihi.
Ila kama wanaona soko kubwa (mapenzi ya wengi) lipo huko hapo ni wao na miili yao ila nitaumia tu kama shabiki.
 
Simambwe
 

Unawajaza ujinga

Enwei,ni vizuri kujikubali uwe mwembamba ama mnene...lakini unene sio jambo la kushadadia sana kiafya
 
Tako na paja teketeke๐Ÿ˜‹

Haswaaa lile linalorindima mwendo au mithili ya muungurumo ya treni ya Dodoma Singida Mkoa Tabora.... kama ulikuwepo enzi zile utaelewa....

Ilikuwa ukitumwa dukani unatoka umejifunga khanga ya kiunoni basi unatembea zako huna hili wala lile, unashangaa nyuma watoto wanakufuata huku wanaimba.... Dodoma Singida Mkoa Tabora, Dodoma Singida Mkoa Tabora..... ujue wamatumwa na wakaka/vijana wa mtaa wanaokusindikiza kwa macho.... nilikuwa sipendiiii na hiwezi toka nyumbani hujajifunga khanga.... utaambiwa umeanza lini uhuni wa mschana kutembea bila khanga....๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ.

Well, wakati ukuta, nimekumbuka zamani....
Taco na paja teketeke...๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ