The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Leo ndio nimejua wewe ni she. Jiandae kwa mtongozoFaller we[emoji1787][emoji1787],hivi Wanaume mnapenda mwanamke anaedeka? Maana napenda kudeka mpaka hasira.,
Halafu hawafai kwa outing msemvyoSema wadada vibonge wana roho nyeupe sana sijui ni kwa nini.
Ndio tunapenda, mwanamke kudeka inatafsiri ya mwanamke kumuachia usukani mwanaume aamue 1, 2, 3 na wanaume tunapenda sana kushika usukani.Faller we[emoji1787][emoji1787],hivi Wanaume mnapenda mwanamke anaedeka? Maana napenda kudeka mpaka hasira.,
Umeona eenhh?!!.Sema wadada vibonge wana roho nyeupe sana sijui ni kwa nini.
Kama wewe ni mwembamba hapo sawa, lkn kama wewe ni kibonge kama Mimi achana na madeko maana utakuwa kubwa jinga [emoji23][emoji23][emoji23].Faller we[emoji1787][emoji1787],hivi Wanaume mnapenda mwanamke anaedeka? Maana napenda kudeka mpaka hasira.,
Wacha wee, ila kweli hii haihitaji research kabisa wanawake vibonge wako with genuine heart, very generous ,humble + their kindhearted behaviour is legendary, japo sio wote.halafu ndo tunaupendo wa kweli kama wa mama yako[emoji23]
You just blow my mindFaller we[emoji1787][emoji1787],hivi Wanaume mnapenda mwanamke anaedeka? Maana napenda kudeka mpaka hasira.,
halafu ndo tunaupendo wa kweli kama wa mama yako😂aagp tk tj8
Wapo hivyo kutokana na kupoteza karata ya muonekano hivyo hawawezi kuwa wajinga kukubali kupoteza na karata ya kuwa humbleWacha wee, ila kweli hii haihitaji research kabisa wanawake vibonge wako with genuine heart, very generous ,humble + their kindhearted behaviour is legendary, japo sio wote.
MmmhLeo ndio nimejua wewe ni she. Jiandae kwa mtongozo
Kuna TOFAUTI kati ya wanamake wanene aka mabonge na wanawake wenye figure au thick. Huyo ulieweka sio bonge ni mwanamke mwenye figureNa ukome kuyasema vibaya mayutong
Manamake manene mapoleee hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...
Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani? Hata kakijidekesha mtu hujui kama kinataka kufaint kwa ajili ya njaa au kanapiga gheresha....
Bonge ni kama huyuNa ukome kuyasema vibaya mayutong
Manamake manene mapoleee, matulivu, yana huruma, yana upendo, hayana neno na mtu wala hayana hata haja ya kujidekesha yaani otomatikale utakuta tu mwenyewe unalidekesha kwa raha linazokupa...Amani ya moyo mtu unaweza hata kutoroka kazini uje nyumbani chapu ulisalimie tu yaani [emoji39][emoji39]
Vimbaumbau hivi kiranga, gubu, ugomvi na kisirani 24/7 ndo faida gani? Hata kakijidekesha mtu hujui kama kinataka kufaint kwa ajili ya njaa au kanapiga gheresha....
View attachment 2233464